Miaka 10 iliyopita ndiyo tulipata ladha halisi ya muziki wa Bongo Flava, zipo nyimbo nyingi sana kali zilizotoka ila hizi 20 naamini zilifanya vizuri kwa wakati wake kwa kuzingatia uandishi & midundo. Hii list haipo kwa mpangilio, ngoma zote 20 zinaweza kuwa namba 1. Darassa - Muziki (feat...
Hizi nyimbo za tenzi za rohoni zina namba. Watu watu wanaoenda kanisani mara kwa mara ukimuimbia msitali mmoja tu anakuwa kashajua namba ya wimbo, kama ana kitabu atakufunulia au atakuimbia verse zote.
Nyimbo zangu pendwa za zamani na za sasa 1. Simba wa yuda - unanikumbushaga siku ya send off yangu miaka hiyo, ukumbi ulirindima 2. Sauti ikatoka - kkkt mabibo 3. Albamu nzima ya mwenye mamlaka - Ulyankulu 4. Ee Mungu Nitakushukuru - Rose Muhando 5. Huyo ni Yesu - Ambassador Kigali 6. Nenda na...
Muziki wa injili umekuwa sehemu muhimu ya utamaduni wa Tanzania kwa miongo kadhaa. Hata hivyo, wengi wamekuwa wakilinganisha nyimbo za injili za zamani na za sasa, huku wakidai kuwa nyimbo za zamani zilikuwa na ujumbe wenye nguvu zaidi na wa kina kuliko hizi za sasa. Je, madai haya yana...
Waimbaji wa Nyimbo za Dini za Zamani Walikuwa na Ujumbe Zaidi Kuliko ...
Muziki wa bongofleva umefanya mapinduzi sana kuanzia mwanzoni mwa miaka 2000 mpaka sasa, zifuatazo ndizo nyimbo bora za bongofleva zenye ujumbe ambazo hupaswi kuacha kuzisikiliza... 1. Dunia Njia, hii nyimbo iliimbwa na Bushoke ni moja ya nyimbo zenye...
10 Bora: Hizi ndizo nyimbo muhimu zaidi zenye ujumbe za Bongo Fleva
Huwa napenda nyimbo za kidosi zina melodies nzuri karibuni tujuzane nyimbo nzuri mpya na za zamani Mimi naanza na hizi.. 1- tere sang yaara 2- Sabu tera Dil chura le Sub teraa