Nyimbo Za Kristo Lyrics

Wasukuma ni watu wanaopenda sana utamaduni wao hasa katika suala la nyimbo. Ni kabila pekee hapa nchini Tanzania lenye waimbaji wengi pengine idadi yao ni kubwa hata kulingana na waimbaji wa bongofleva. Kama unabisha, nenda youtube andika nyimbo za kisukuma, utaona waimbaji wasio na idadi...

Hapa tutatiririka na nyimbo kali na albums kali za kwaya kutoka R.C Unazo ona zimetikisa kweli iwe katika jimbo au mkoa wako au Tanzania nzima. Mimi bwana nitaanza na hawa kwaya ya mtakatifu Cesilia toka jimbo katoliki la Arusha na Album yao iliyotikisa iitwayo "MSHIPI" Hii Album ilisheheni...

Nyimbo Za Kristo Lyrics 2

Nyimbo za kisukuma zimekuwa zikipigwa sana maeneo mbalimbali na kona zote za nchi, na kwenye maharusi, kumbi za starehe na kwenye ndoa za watu wote nchini. Huu uzi utakuletea majina ya wasanii na ngoma zote nzuri zinazopedwa mda Wote. wasanii kama GUDEGUDE, LIMBU LUCHANGULA, BHUNDAGALA, BAHATI...

Nyimbo zangu pendwa za zamani na za sasa 1. Simba wa yuda - unanikumbushaga siku ya send off yangu miaka hiyo, ukumbi ulirindima 2. Sauti ikatoka - kkkt mabibo 3. Albamu nzima ya mwenye mamlaka - Ulyankulu 4. Ee Mungu Nitakushukuru - Rose Muhando 5. Huyo ni Yesu - Ambassador Kigali 6. Nenda na...

Nyimbo Za Kristo Lyrics 4

Miaka 10 iliyopita ndiyo tulipata ladha halisi ya muziki wa Bongo Flava, zipo nyimbo nyingi sana kali zilizotoka ila hizi 20 naamini zilifanya vizuri kwa wakati wake kwa kuzingatia uandishi & midundo. Hii list haipo kwa mpangilio, ngoma zote 20 zinaweza kuwa namba 1. Darassa - Muziki (feat...

Nyimbo Za Kristo Lyrics 5

Muziki wa injili umekuwa sehemu muhimu ya utamaduni wa Tanzania kwa miongo kadhaa. Hata hivyo, wengi wamekuwa wakilinganisha nyimbo za injili za zamani na za sasa, huku wakidai kuwa nyimbo za zamani zilikuwa na ujumbe wenye nguvu zaidi na wa kina kuliko hizi za sasa. Je, madai haya yana...