DAR E SALAAM: ZAIDI ya Sh bilioni 15 zinatolewa kila mwaka kwa ajili ya kuwasaidia wakulima zaidi ya 600 nchi nzima. Lengo ni kuendeleza kilimo cha mazao yanayohitajika kwa ajili ya kuzalisha bidhaa z ...
Radio France Internationale: Uchumi wa Afrika: Benki ya Dunia inatanguliza uundaji wa ajira na kilimo
Mikutano mikuu ya Benki ya Dunia (WB) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) inaanza Jumatatu hii, Oktoba 21 mjini Washington. Mkutano huu wa kila mwaka huchukua wiki nzima. Fursa kwa viongozi wa ...
Uchumi wa Afrika: Benki ya Dunia inatanguliza uundaji wa ajira na kilimo
Katika miongo miwili iliyopita, Afrika imekuwa moja ya maeneo yanayokua kwa kasi kiuchumi duniani, ikiwa na wastani wa ukuaji wa Pato la Taifa wa kati ya asilimia 3.5 na 4.5 kwa mwaka. Kadiri ...
Wananchi nchini Rwanda wamepokea kwa hisia tofauti mpango wa serikali yao wa kuruhusu kilimo cha bangi kwa ajili ya matumizi ya kimatibabu na kiuchumi. Kwa mujibu wa sheria matumizi ya bangi Rwanda ni ...
TANZANIA ina jumla ya vijana zaidi ya milioni 21 wenye umri kati ya miaka 15 hadi 35, sawa na takribani asilimia 34.5 ya Watanzania wote, kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022.
Dakar – AGRA, kwa ushirikiano na Mastercard Foundation, inaendesha mpango wa kuongeza kufadhili vijana kuleta mabadiliko katika sekta ya kilimo barani Afrika. Mpango huu, uliopewa jina Youth ...
Takriban watoto milioni 138 walitumikishwa katika ajira za watoto mwaka 2024, ikiwemo watoto karibu milioni 54 katika kazi hatarishi ambazo huenda zikaathiri afya, usalama au maendeleo yao. Ikiwa leo ...